Salam, Abdi Abdallah, You may be looking for the Kiswahili Wikipedia. Sj 23:00, 5 February 2011 (UTC)Reply

Salamu sana. Hata mimi napenda kukukaribisha kujiunga nasi kwenye wikipedia ya kiswahili! Tunahitaji sana waandishi, wafasiri wa makala na watu wanosaidia kuboresha makala. Bila shaka wikipedia ya Kiswahili ina nafasi bora katika kukuza lugha. Karibu kwetu pamoja na kamati yako!

#REDIRECTsw:User:Kipala 19:42, 17 February 2011 (UTC)Reply